ADA NA MALIPO MENGINE MBALIMBALI

Pesa zote za ada na michango mbalimbali zilipwe benki au kwa wakala wa Benki popote hapa nchini kupitia:
NMB A/C No: 3 0 5 1 0 0 0 4 8 1 5
Jina: Ngulyati Secondary School.


Kumbuka kuandika jina la mwanafunzi na kidato chake wakati wa malipo.